KUTENGENEZA BLOG . Kufungua Blog ni bure na hakuna malipo ya aina yoyote. Unaweza kutengeneza Blog kwa kutumia simu au Computer. Hatua Kwa Hatua Jinsi ya kutengeneza website/blog (Wavuti). 1. Unatakiwa uwe na email ya Gmail Ili uweze kutengeneza blog au kama unayo email lazima iwe active. Kama huna E-mail ingia kwenye website ya Gmail ili uweze kutengeneza email. 2. Ingia kwenye website ya blogger.com. Bonyeza create your blog. Weka email na password. 3.Kwenye title, Weka jina la blog yako (andika jina lolote unaloona linafaa). Hakikisha jina halijawahi kutumia kwenye kutengeneza blog. Weka Jina ambalo ni rahisi kwa wasomaji wako kuitafuta blog yako. 4. Kwenye address. Andika jina la blog yako mfano Pesanyingi.blogspot.com hakikisha jina la kwenye address halifanani na jina la address ya blog yoyote. Hakikisha ukisearch jina la blog yako itatokea yenyewe tu. 5. Kwenye themes, Chagua yoyote unayoona inafaa. Kisha bonyeza kitufe cha Create blog. H...
Posts
Showing posts from March, 2021